Safari ya kuelekea kwa Mwali ilikuwa nzuri na salama tulifika na Makongoro alitupokea kwa Nje kabisa mwa Nyumba yao. |
Pia Waliomba Tabia hii Ikome Mara Moja.
Bibi analea wajukuu zake kama ivi |
Mama alipokuwa akitoka Ndani na kujingea katika sehemu iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya mazungunzo |
Mama akizungumza na Waandishin pia Vijana wakisikiliza kwa Makini. |
Mama akiwa Kaongozana na Mwane Makongoro na Kijana Mwenye Tisheti ya Njano ni Mjuu kwa Mtoto wa Kwanza wa Mwalimu |
Baada ya Kufika palikuwa na Nyimbo za Kumuimbia Mama |
Nyimbo za Hamasa |
Makongoro kushoto, Kati ni Mwenyekiti UVCCM Mkoa wa Dar na Mwisho ni Mwenyekiti Pwani |
Hapa kulikuwa na Muda wa Kuimba Nyimbo za Kumsifu Mwalimu, na Zile Nyimbo za Hamasa na Tamaduni pia Nyimbo za Kudumisha Amani na Upendo kwa Watanzania wote. |
Muda wakupiga Picha ulipatikana pia Baada ya Kumaliza Shuguli |
Vujana walipata Fulsa ya Kupiga picha na Mama MariaNyerere |
Wakitembea toka ktk Bustani ya Mwalimu na ilikopandwa Miche ya Miti ya wawakilishi toka Zanzibar na Bara |
Picha hutunza Kumbukumbu najua hapa baada ya Miaka Ishirini tutataftana maofisini uko.... |
Picha iliyochukua watu Wengi zaidi hapa Shy Rose Banj, Mama Maria Makongoro Nyerere na Vijana viongozi |
Peter Dafi na Shy Rose Banj |
Nikiwa na wazee wangu machachali nachota Hekima na Busara tu kwa Kila Lika |
Vijana wakijadili jadili kila mmoja na mwenzie wakitafakali |
Hakika Vijana walipendeza kwa Tshert ambazo zilikuwa na Ujumbe mzito na uliofika kwa jamii ukiwa na Impact kubwa kwani Vijana HAWATAKI KUONA WAASISI WA TAIFA HILI WAKITUKANWA NA KUDHIHAKIWA. |
Hapa ni Mwenda, Makonda na Mkalipa |
Moja kati ya Vitu huwapa raha sana Vijana ni Picha za Kumbukumbu na Wazazi wao au viongozi wao. |
Lol... Hapa Kamanda Nyundo akiteta Jambo na Mama Nyerere nikwaumakini zaidi Nidhamu na Hekima zote hapo |
Ujumbe wa Tshert ni Huu kwa upande wa Mgongoni. |
Huu ni Mche wa Pili |
Post a Comment