Dk Hamisi Kigwangalla akiwa Mgeni Rasmi ktk Uzinduzi wa Albam iitwayo JIWE NI JIWE ya waimbaji wa FPTC Tumaini Chour, Tamasha lilifanyika Zanzibar ktk Ukumbi wa CCM Mkoa Amani Mjini Magharibi Tarehe 4/5/2014,
Hapa kwa kwanza Kulia ni Mkeni Mchungaji aliekuwa kaalikwa pia, wapili Kushoto ni Mchungaji wa Kanisa Hilo la FPTC Mjini Maghalibi, Watatu Mwenye Suti Nyeusi ni Dk Hamisi Kigwangalla na wamwisho Kulia ni Mchungaji Mzee wa Viwango
|
Wakipiga Makofi kufurahia uzinduzi |
|
Mchungaji wa Kanisa alifungua kwa Maombi na Utambulisho wa Meza Kuu |
|
Waumini wa Kanisa wasikiliza kwa Makini |
|
Kigwangalla akiteta kwa umakini na Mchungaji |
|
Kushoto ni Kijana Mwita Nyaginde na Kulia ni SHija |
|
Mgeni Rasmi akikabidhiwa Hotuba ya Mgeni Rasmi na Mchungaji |
|
Hii ndo Kwaya ulokuwa ikizindua |
|
Katika Kuizindua Albam hiyo ilichezwa nyimbo ilobeba Albam hiyo, Kingwangalla hakujizuia alisimama na kwenda kucheza na waimbaji hao. |
|
Alijitahidi sana kwenda na Step za Dancing hoyo maalum kwa ajili ya uzinduzi |
|
Alicheza sana na baadae aliwaachia waendelee kuonyesha uwezo wao |
|
Ni kufurahi tu |
|
Unapomwimbia Mungu huwa na Furaha siku zote |
|
Nikama wanataka kupaa ivi ila walaaa Furaha tu ya Kuwa na Mungu ndani yao |
|
Mchungaji Mzee wa Viwango akitoa Neno |
|
Kigwangalla alikaribishwa na kutoa Hotuba yake Rasmi | | | aliwaambia
wanazanzibar kuwa Maisha haya ya Muungano wa Tanganyika na Zanziba ni
Muhimu sana ivo Tuhakikishe Tunalinda Muungano kwa Kuwaombea Viongozi na
Nchi yetu pia wananchi wawe na Subira kwa Mikanganyiko ya wanasiasa
wanaowachanganya kwa maneno ya kuwapotosha kwa Serikali Tatu. |
| | | |
|
|
|
|
Lakini Pia alisema Tanzania tumekuwa tunaishi kwa Upendo na Amani kwa Mchanganyiko wa Makabila na Dini Bila kujali, Tunashirikiana Pamoja kwa Kazi zote za Kijamii, Kiserikali na Kitamaduni.
Na Hata Mapaka Yeye kama Mbunge wa Nzega Tanzania Bara alialikwa Zanzibar Kuzindua Albam ya Kwaya Bila kujali yeye kama Mbunge na Muislam lakini aliingia kanisani na wako pamoja na kujadili Mipango ya Taifa Letu, Hivo HAKUNA UBAGUZI WALA KUTENGANA HAPA.
|
Waimbakwaya wakishangilia kwa Shangwe Hotuba yenye ,Maneno sahihi kwao |
|
Muda wa Kuzindua ulifika Maaskofu waliikamata CD na kuiombea na Kuitia Baraka tele ili iingie Sokoni Vema |
|
Wageni wakiomba kwa Pamoja |
|
Kazi ya Mnada ikaanza na Kigwangalla aliendesha Harambee vema |
|
Kazi hii unatakiwa uwe Mzungumzaji na Uwe Shap |
|
Akaanza kwa Kununu CD Moja kwa Millioni Moja Cash. |
|
Akaendelea na Mnada |
Lakini Pia Mbunge wa VUNJO alimpatia Bahasha kwa ajili ya waumi ni hao aliitoa na kuwakabidhi
|
Alimkabidhi mchungaji wa Kanisa hilo bashasha yenye Kitita cha Pesa |
|
Mzee wa Viwango pia alisimama na Kusema Maneno Thabiti kwa Taifa na Shukrani kwa Mgeni rasmi |
Siku zote Kigwangalla humsikiliza Mtu kwa Makini sana na hutenda kwa Umakini mkubwa pia
|
Mchungaji alibariki Kazi ya Mikono yao kwa siku hiyo na kubariki wageni wote walokuja hapo sikiu hiyo |
|
Kuinamisha Kichwa kwa Kuomba |
|
Mgeni Rasmi aliagwa na Kuondoka eneo la tukio na kuelekea Viwanja vya Kibanda Maiti ambako alikuwa na Mkutano Mwingine na Mzee Kinana Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Huko palikuwa na watu wengi sana Bila kujali Mvua kubwa iliyokuwa ikiendelea siku hiyo Mjini Zanzibar. |
Post a Comment