Katibu wa Chama cha Mapinduzi (Msukuma) akiwa na Paul Makonda Katibu wa hamasa na Chipukizi Taifa katika Mkutano Jioni ya leo huko Mkoani Geita. |
Viongozi hawa wa Chama chamapinduzi wako katika Ziara ya Kukiimarisha Chama na kuhimiza michezo ambayo ni moja ya ahadi katika ilani ya mwaka 2010 Kanda ya Ziwa Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita. |
MICHEZO NI AJIRA MICHEZI NI AFYA. Huyu nikatibu wa Mkoani Gaita Ndugu Msukuma akihutubia Umati wa wanaMbongwe walojitokeza kwa wingi zaidi. |
Ukitizama Mezani utaona Mpira ambao upo kwa ajili ya kuwapatia wachezaji kwa ajili ya kufanya Michezo na Kuimarisha Afya za watanzania lakini pia ni Ajira kwa Vijana wetu. |
Meza Kuu ni MNEC wa Mkoa wa Geita, Mwenezi wa Mkoa wa Geita, Mwenyekiti wa Mkoa, na Paul Makonda. |
Hili ni Nyomi la Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita |
Hii nikatika Utambulisho kwa wananchi Meza Kuu ni MNEC wa Mkoa wa Geita, Mwenezi wa Mkoa wa Geita, Mwenyekiti wa Mkoa, na Paul Makonda. |
Hakika Viwanja vilifurika Balaa |
Hapa Meza Kuu ni MNEC wa Mkoa wa Geita, Mwenezi wa Mkoa wa Geita, Mwenyekiti wa Mkoa, na Paul Makonda. |
Ulinzi uliimarishwa zaidi kwa askari walioko Kamili kila Idara |
Hivi ni Vitambulisho vilivyogawiwa kwa washiriki leo |
Hapa Paul Makonda akisalimiana na Kada Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi aliemfuata Meza Kuu na Kusalimia |
Hili ni Nyomi la Wana Geita walokuja uwanjani hapa kushukudia na Kusikiliza UKAWA wakimalizwa kwa Fact Tupu. |
Post a Comment