Home » , » MAHAKAMA YAELEZWA JINSI BILIONEA ERASTO MSUYA ALIVYOUAWA KINYAMA KWA KUTUMIA BUNDUKI YA SMG

MAHAKAMA YAELEZWA JINSI BILIONEA ERASTO MSUYA ALIVYOUAWA KINYAMA KWA KUTUMIA BUNDUKI YA SMG

Written By peterdafi.blogspot.com on Thursday, June 12, 2014 | 1:26 AM

MAHAKAMA YAELEZWA JINSI BILIONEA ERASTO MSUYA ALIVYOUAWA KINYAMA KWA KUTUMIA BUNDUKI YA SMG

Bunduki ya kivita aina ya Sub Machine Gun (SMG) iliyotumika kumuua mfanyabiashara tajiri wa Mirerani, Erasto Msuya, ilinunuliwa kwa Sh4 milioni nchini Kenya, Mahakama imeelezwa.

Imeelezwa pia kwamba wauaji wanne waliokwenda eneo la tukio kutekeleza mauaji hayo, walilipwa Sh5 milioni kila mmoja na washirika wao wakilipwa Sh3 milioni kila mmoja.

Hapa ni Siku ya Tukio alipokuwa kapigiwa Risasi Marehemu, na Hawa ni Askari wakisaidia kuutoa Mwili wake Marehemu Erasto.
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger