

WATU 10 wameuawa katika shambulio lingine eneo la Mpeketoni karibu na Lamu nchini Kenya usiku wa kuamkia leo.
Shambulio
hilo limetokea ikiwa ni siku moja baada ya kundi la Al Shabaab kukiri
kufanya mashambulizi yaliyouwa watu 50 katika eneo hilo usiku wa kuamkia
jana Jumatatu Juni 16, 2014.
Post a Comment