![]() |
wanafunzi kutoka vyuo vikuu mbalimbali mkoa wa Dar es salaam wakisikiliza kwa umakini hotuba ya mgeni rasmi katika shughuli ya mahafali ya wanavyuo-wanachama wa CCM. |
Wageni mbalimbali katika mahafali ya vyuo vikuu mkoa wa Dar es salaam wakiwa katika Ukumbi wa Karimjee ambako shughuli hiyo ilikofanyika.
![]() |
Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha muhimbili ambao nao walishiriki katika mahafali hayo ya vyuo vikuu- CCM yaliyofanyika katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam. |
![]() |
Meza Kuu: Katibu Msaidizi Mkoa Maalum wa Vyuo vikuu Daniel Zenda (wa kwanza kushoto) katika tukio hilo la mahafali ya vyuo vikuu mkoa wa Dar es salaam. |
![]() |
Daniel Zenda, Katibu Msaidizi wa mkoa maalum wa Vyuo vikuu akizungumza kwenye mahafali ya vyuo vikuu mkoa wa Dar es salaam katika ukumbi wa Karimjee, Dar es salaam. |
![]() |
Mgeni rasmi katika mahafali ya Vyuo vikuu Mkoa wa Dar es salaam, mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa wilaya ya Kinondoni Mzee Lyimo akiongea katika mahafali hayo ukumbi wa Karimjee. |
Post a Comment