![]() |
Ni Paul Makonda akisaini kitabu cha wageni ktk Ofisi ya Chama Mkoani Geita Wilaya ya Chang'ahwale leo Mapema na Kulia apa ni Mwenyekiti wa Mkoa Geita ndugu Msukuma. |
![]() |
Hapa ni Viongozi wa Chama Wilaya Chang'ahwale na Mkoani Geita walipokuwa wakikagua Jengo Jipya |
![]() |
Kama Ilivyo Ada Mkisalimiana lazima mtakum bushiana na Story za zamani kidogo hapa Msukuma inaonekana alikuwa anajalibu kutoa maelezo ya Nyuma kidogo. |
Post a Comment