Home » » Picha zaidi za Tukio la Ajali ya Basi Huko Kongwa Mapema Asubui hii hizi hapa.

Picha zaidi za Tukio la Ajali ya Basi Huko Kongwa Mapema Asubui hii hizi hapa.

Written By peterdafi.blogspot.com on Wednesday, July 30, 2014 | 3:23 AM

Ajali mbaya sana imetokea leo asubuhi bus kutoka mpwapwa kwenda dar allsaidy limepata ajali hiyo eneo la pandambili wilaya ya kongwa bus limefingana na fuso

Mpaka sasa waliofariki ni zaidi ya 13 .ila bado idadi kamili haijapatikana kwakua wengine wamepelekwa dodoma wengine hosp ya wilaya kongwa ila kwa hapa kongwa waliofariki ni 13 -  na 10 wametambuliwa ila hao watatu bado hawajatambulika ila mait hizo zipo hosp.

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger