Mh. Dk Hamisi Kigwangalla Mbunge wa Jimbo la Nzega Na Mwenhekiti wa TAMISEMI Leo hii amechangia Damu Salama pale Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Hii imekuja Baada ya Kupokea Maandamano ya Vikundi Mbali mbali Toka Tanzania Bara Na Visiwani.
Ujumbe wa Taifa Jogging Na Sports Club ni Kudumisha Amani Na Upendo Pia Mazoezi ni Ni Afya.
Post a Comment