Katika mikutano yake ya kampeni pamoja na kumnadi Mhe Magufuli na Mhe Samia Suluhu Hassan lakini pia aliwanadi wabunge na madiwani na hotuba zake zilisisitiza yafuatayo:
1.Aliwasisitiza kuichagua ccm ili iendelee na mipango mizuri ya kuwaunganisha vijana ili waweze kujitegemea kiuchumi..
2.Aliwahimiza vijana kujiendeleza kielimu ili kuwa na ufahamu wa mwenendo wa nchi na dunia kuhusu siasa na uchumi..
3. Aidha aliwaasa vijana kutodanganywa na wapinzani badala yake ni vizuri wapate muda wa kuwapima wanasiasa hasa wa upinzani il watofautishe ukweli na uwongo, pia kwa kusoma katiba na ilani zao badala ya kusikiliza mawazo binafsi ya baadhi ya wapinzani..
Wakati huohuo ndugu Viwe alisisitiza sana suala la wananchi kudumisha muungano wa Tanzania kwani yeye anatoka pemba..
Aidha picha za matukio hizi hapa.....
kutoka dar makao makuu ya uvccm mpaka break ya kwanza tabora mjini uwanja wa jamhuri hapa naibu katibu mkuu alpokelewa kwa shangwe na katibu wa uvccm mkoa wa tabora bi mariam, lakini picha juu unamuona naibu akiwa kakaa na kundi la vijana juu jukwaani.
pichani ni katibu mariam akimkalibisha naibu katibu mkuu nakutoa maelezo juu ya lengo la ziara ya naibu katibu mkuu toka uvccm taifa.
hapa ni naibu kizigo akiwa na mimbe kamati ya utekelezaji na muwakilishi toka zanzibar bi viwe abdalah
kikao cha viongozi ofisini ikiambatana na kusaini vitabu vya wageni
ziara mkoani tabora ilianza tarehr 11- 13 september 2015 na kwa kuanza ziara ilianzia wilaya ya sikonge hapa kilifanyika kikao cha ndani cha viongozi wa wilaya, walipeana mipango nakutathmini ushindi wa mwaka huu.
pichani anaezungumza ni ndugu robart kamoga aliekuwa mgombea udiwani na aliekuwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya sikonge , lakni mwaka huu kura zake hazikutosha na bado yupo ndani ya chama na anakipenda na anakipigania kishinde hasa wale walomsinda ktk kura za maoni
akiwa sikonge naibu katibu mkuu alimsimamisha bi samra nakumuelezea alivyokipigania chama cha mapinduzi huko pemba kwa changamoto kubwa.
sikonge mkoa wa tabora
mjumbe kamati ya utekelezaji mh viwe khamis abdallah akizungumza na wajumbe wilayani sikonge
ziara iliendelea nakwenda kata ya misheni, katika mkutano wa hadhala akiwepo mgombea udiwani wa kata hiyo.katika mkutano huo aliwasimamisha pia mh viwe na bi samra kutoka kisiwa cha pili cha zanzibar nakuwaelezea mshikamano walonao dhidi ya tanzania bara na visiwani
kisha bi samra bakari ikafika muda wake kuhutubia uma wa wana misheni, aliwasisitizia zaidi juu ya kuulinda muungano kwani nimuhimu sana.
mh viwe khamis abdallah ulifika muda wake na alijikita zaidi kuelezea ilani ya ccm ilivyotekelezwa na kwa miaka ilopita lakini pia kwa kuielezea ilani hii mpya na ambavyo itaenda kuwaletea mafanikio na maendeleo makubwa kwa watanzania.
kisha baada ya kuhutubia alimuombea diwani tarajiwa kura kwa wananchi
ulifika muda wa burudani hapa ndipo naibu katibu mkuu aliungana na wana misheni kucheza nyimbo nzuri sana.
nyimbo inaendelea hapa kazi tu
kesho yake msafara uliamkia ofisi kuu ya mkoa wa tabora, hapa ni ofisi ya katibu wa mkoa uvccm.
safari iliondoka nakuelekea wilaya ya nzega mkoani tabora, hapa naibu katibu mkuu akipokelewa na ofisi kuu ya ccm wilayani nzega.
naibu katibu mkuu akivishwa skafu kwa heshima kubwa na vijana wa green gurd nzega
kisha waliondoka kwa gwaride ili kumpisha mgeni rasmi akague gwaride la vijana wakakamavu toka nzega
naibu akikagua gwaride
aliingia ofisi ya katibu wa chama nzega nakusaini vitabu vya wageni
kushoto ni naibu katibu mkuu kati anaekutizama ni katibu wa wilaya ya nzega na kulia ni m viwe toka zanzibar
kisha baada ya hapo ziara iliendelea nakuelekea katani
hapa alikuta vijana nakupiga kikao cha ndani na wajumbe wa eneo husika
naibu katibu mkuu alihutubia kisha akatoa tano kwa vijana kwa ishara ya umoja na ushindi wa chama cha mapinduzi
hapa ni baadhi ya vijana hao waliojitokeza siku hiyo
kada mmoja wapo akisikiliza kwa makini sana na kufurahia maneno ya kiongozi huyo wa kitaifa.kisha baada ya hapo ziara iliendelea na kuelekea kata miguwa ambapo mgeni alikuta kundi la vijana na wajumbe wengine wengi sana wakingoja maneno.
mwenyekiti wa wilaya ya nzega ambae pia ni mgombea udiwani wa kata hii ya miguwa akifungua kikao hicho cha ndani.
ulifika muda wakuzungumza kwa mh viwe ambae ni mjumbe kamati ya utekelezaji taifa na pia ni mwakilishi toka pemba, alisimama nakuanza kuzungunza na uma huo ambapo alizungumzia changamoto za uchaguzi.
wana miguwa
wana miguwa
mh viwe akiinadi ilani ya chama cha mapinduzi
hapa mh john luputi afisa wa makao makuu uvccm taifa akipiga neno ktk kikao hiko
luputi katika ubora wake
mh viwe akisema neno
naibu kizigo akisema na wajumbe
mgombea udiwani alisema na wajumbe pia wageni rasmi
mzee maarufu kama mze saidi sikonge alitoa neno kwa niaba ya wajumbe wote
kesho yake safari iliendelea mkoa wa kigoma wilaya ya uvinza na hapa mh naibu katibu mkuu akipokelewa ofisi ya chama uvinza
ofisini kusaini vitabu vya wageni
katibu wa vijana uvinza
katibu wa vijana uvinza akiteta na naibu katibu mkuu
baaada ya kikao cha ndani ofisini naibu katibu mkuu alielekea kata ya nguruka hapa m anasalimiana na wajumbe
naibu kizigo akisema na wajumbe
mwana nguruka akisikiliza kwa umakini
tafakari kabla hujasimama kusema hapa kiongozi anayatafakali yakitaifa zaidi ili kushinda kwa kishindo
muda wa kuteta
msafara ulikatisha daraja la kikwete mto malagalasi, kushoto ni katibu wa wilaya ya uvinza, anaefuata toka kushoto ni naibu katibu mkuu, anafuatia green gurd kisha ni ndugu peter dafi
kesho yake msafara ulifanyika kata ya basanza wilaya ya uvinza mkoa wa kigoma.
hapa ni kijana machachali sana ndugu sosi wa kata ya basanza uvinza kijana huyu yuko makini sana na amekipigania na anazidi kukipigania chama na kukipatia ushindi chama cha mapinduzi mwaka huu.
naibu katibu mkuu akisema na wajumbe wa kata ya basanza wilayani uvinza
mh viwe akizungumza katika katika kikao cha ndani basanza
mh viwe katika ubora wake
naibu kizigo akisema na wana basanza
naibu kizigo akisalimiana na mgombea udiwani wa kata ya basanza
alisimamamjumbe mmoja nakutoa ushuhuda na maamuzi walio nayo mwaka huu kwa wilaya ya uvinza, maadhimio yao makuu nikwamba hawatoi jimbo lao upin zani ena kwani kafulila hajafanya kazi ila alienda kusemea visivyomuhusu bungeni.
vijana wa ccm basanza
safari iliendelea baada ya kikao hicho kuelekea kigoma mjini, hapa ni mwenyekiti wa vijana mkoa wa kigoma alipokuja kuupokea msafara wa naibu katibu mkuu taifa mh kizigo, hapa ni mpaka wa jimbo la kigoma kijijini na jimbo la kigoma mjini.
alieshikana mkono na mh kizigo ndie mwenyekiti wa mkoa wa tabora
viongozi waliingia kwenye magari nakuelekea kigoma njini.
ofisi ya ccm mkoa wa kigoma
kesho yake msafara uliendelea na ziara jimbo la kigoma vijijini, hapa ni kikao cha ndani cha wajumbe na viongozi wakuu.
mkutano mkubwa wa nje jimbo la kigoma vijijini,
mwenyekiti na naibu katibu mku wakiteta jambo.
mkutano wa nje
wamati wa wanakigoma
mwenyekiti wa mkoa wa kigoma akisema na wanakigoma vijijini
m/kiti peter msanjilo ktk kuukemea ukawa.
ilifika zamu ya naibu katibu mkuu kusema na umati wa wanakigoma vijijni
ulifika muda wakumdani diwani
green gurd
mkutano wa hadhala uliisha na msafara uliondoka na huu ndio ilikuwa mkutano wa mwisho kigoma.
kesho yake makao makuu ya ccm asubui mwenyekiti wa vijana ndg peter msanjilo alitoa zawadi yadagaa kwa viongozi na wote waliokuwa ktk msafara wa naibu katibu mkuu.
hapa naibu kizigo akipewa zawadi na m/kiti peter zawadi ya kitenge kwa ajili ya mama nyumbani zawadi toka kwa uvccm kigoma
ilifika zamu ya mh viwe alizawadiwa pakiti ya dagaa wa kigoma
samra pia alipata dagaa
ndg peterdafi azawadiwa dagaa na m/kiti peter msanjilo
zawadi
ukafika wakati wakushukuru pia kama ulivyo utamaduni wa waafrica
mjumbe kamati utekelezaji kushoto anafatiwa na katibu wa vijana mkoa wa kigoma alievalia tisheti ya tanzania na kulia apa ni ps wa katibu mkoa wa kigoma.
picha ya pamoja ya viongozi wa kitaifa ofisi kuu ya mkoa wa kigoma
safari ya kurudi dar es salaam ilianza na hapa msafara ulisindikizwa mpaka mpaka wa kigoma mjini na vijijini kati na m/kiti waliaga msafara nawatakia viongozi safari njema.
ziara ilifanikiwa kufanya mikutano ya hadhara pamoja na viakao vya ndani vya mikakati yaushindi.
na ndio maana leo hii ccm imejikuta inashinda kila siku kwa sababu ya umakini wa taasisi hii.
ushindi kwa majimbo yote ya kigoma na tabora umekuwa wazi.
ziara hii ilikuwa na dereva ndg saidi.
Post a Comment