Waziri wa Afya,maendeleo jamii, jinsia, wazee na watoto Mh. Ummy Mwalimu na naibu wake Dr. Hamisi Kigwangala leo wamekutana na menejimenti ya wizara ya Afya jijini Dar es salaam kwa lengo la kufuatilia utendaji na utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya wizara.
Watendaji wa wizara walitoa ufafanuzi na maelezo juu ya ufanyaji kazi wao wizarani. Hii ni katika kuendana na kauli mbiu ya " Hapa Kazi tu " ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli.
Post a Comment