Baadhi ya Majengo Mji mkongwe Zanzibar yanateketea kwa Moto usiku huu maeneo ya kiponda
Bado haijajulikana ni Majengo mangapi.
Ila Chanzo kikuu inasemekana ni Itirafu ya Umeme.
Taarifa zaidi ntaendelea kiwapatia nafanya mawasiliano na baadhi ya Walioko Zanzibar
Post a Comment