Home » » Rais Mugabe wa Zimbabwe 'hajapatwa na mshtuko wa moyo'

Rais Mugabe wa Zimbabwe 'hajapatwa na mshtuko wa moyo'

Written By peterdafi.blogspot.com on Thursday, January 14, 2016 | 11:13 AM

Mugabe 'hajapatwa na mshtuko wa moyo'

ImageAFPImageRais wa Zimbabwe Robert Mugabe ana miaka 91

Uvumi kuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe mwenye umri wa miaka 91 amepata mshutuko wa moyo ni uongo mtupu.

Hii ni kwa mujibu wa msemaji wake George Charamba ambaye amenukuliwa na gazeti la serikali la Herald.

Mtandao wa habari wa Zim Eye ulisema jana kuwa Bw Mugabe anaaminiwa kuanguka baada ya kupata mshtuko wa moyo akiwa likizoni na familia yake.

Bw Charamaba aliliambia gazeti la the Herald kuwa hiyo ni mbinu ya mitandao kupata pesa.

Alisema kuwa kila Januari taarifa hujitokeza kuhusu kifo cha rais


Na BBC Swaili

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger