Home » , » RIPOTI ya Uchunguzi ya TWAWEZA 2012:

RIPOTI ya Uchunguzi ya TWAWEZA 2012:

Written By peterdafi.blogspot.com on Wednesday, December 19, 2012 | 10:28 PM

 

RIPOTI ya Uchunguzi ya TWAWEZA 2012:

- Zaidi ya 90% (nchi nzima) wana imani na rais Kikwete na serikali yake!

- Raia wa Dar kwa zaidi ya 80% wana imani na jeshi la Polisi

- Takriban 60% ya wakazi wa Dar hawana imani na huduma za DAWASCO na TANESCO

- Takriban 40% zimekwenda kwa wabunge na utendaji wao ikiashiria wananchi hawajui kazi ya wabunge wakiwa bungeni na hata katika jamii

- Walau 60% ya wakazi wa Dar wana imani na serikali ya Kikwete na utendaji kazi wake

- 80% ya wakazi wa Dar wana imani na viongozi wa dini


UNA MAONI GANI?
Chanzo ni 
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger