Home » » RIDHIWANI KIKWETE ALILALAMIKIA GAZETI LA TANZANIAN DAIMA (CHADEMA)

RIDHIWANI KIKWETE ALILALAMIKIA GAZETI LA TANZANIAN DAIMA (CHADEMA)

Written By peterdafi.blogspot.com on Friday, December 20, 2013 | 3:51 AM

Alianza kwa kusema hiviii......

"Nimesikitishwa sana na jinsi Gazeti la Kaka yangu Mbowe lilivyotumia jina langu kutafuta mapato.UKWELI.... jana sikuwapo Mwanza na wala sikutoka nje ya wilaya ya KINONDONI .

Ni imani kuwa jambo hili walilifanya Makusudi.Ninaheshimu sana UHURU WA HABARI lakini hili sasa mmezidisha.

KAMA WEWE UNGEFANYAJE? SHAURI"
Amemaliza kwa kusema hivo Ridhiwani.

Maoni na mtizamo wangu.....!!!

  MEDIA ETHICS:- KWA GAZETI LA TANZANIA DAIMA HAZIFUATWI HATA KIDODO

1. Gazeti linapaswa kuandika habari zenye ukweli NA uHAKIKA.
2.Usipotoshe uma.
3.Habari yako iwe umelenga kuelimisha na kupasha Habari kwa Jamii nzima kwa lengo la kuelimisha tena isiwe ya kichochezi.
Sasa ikitizamwa Gazeti hili limekuwa linatoahabari za uongona uzushi mwingi sana kwani Tukikumbuka siku chache zimepita Waliandika habari za Mzee Kapuya ili kumchafua, Tena wanaunda habari za kizushi ili kujinufaisha kisiasa na sio kupasha habari kwa watanzania hii si sawa kwa zile Nguzo za Media Ethic...
Kwani kuna point hii...........

The media has manipulated the way public officials conduct themselves through the advancement of technology. Constant television coverage displays the legislative proceedings; exposing faster than ever before, unjust rulings throughout the government process. Truth telling is crucial in media ethics as any opposition of truth telling is considered deception. Anything shown by the media whether print or video is considered to be original. When a statement is written in an article or a video is shown of a public official, it is the original “truthful” words of the individual official themselves.


Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger