![]() |
| Safari ya kuelekea kwa Mwali ilikuwa nzuri na salama tulifika na Makongoro alitupokea kwa Nje kabisa mwa Nyumba yao. |
Pia Waliomba Tabia hii Ikome Mara Moja.
![]() |
| Bibi analea wajukuu zake kama ivi |
![]() |
| Mama alipokuwa akitoka Ndani na kujingea katika sehemu iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya mazungunzo |
![]() |
| Mama akizungumza na Waandishin pia Vijana wakisikiliza kwa Makini. |
![]() |
| Mama akiwa Kaongozana na Mwane Makongoro na Kijana Mwenye Tisheti ya Njano ni Mjuu kwa Mtoto wa Kwanza wa Mwalimu |
![]() |
| Baada ya Kufika palikuwa na Nyimbo za Kumuimbia Mama |
![]() |
| Nyimbo za Hamasa |
![]() |
| Makongoro kushoto, Kati ni Mwenyekiti UVCCM Mkoa wa Dar na Mwisho ni Mwenyekiti Pwani |
![]() |
| Hapa kulikuwa na Muda wa Kuimba Nyimbo za Kumsifu Mwalimu, na Zile Nyimbo za Hamasa na Tamaduni pia Nyimbo za Kudumisha Amani na Upendo kwa Watanzania wote. |
![]() |
| Muda wakupiga Picha ulipatikana pia Baada ya Kumaliza Shuguli |
![]() |
| Vujana walipata Fulsa ya Kupiga picha na Mama MariaNyerere |
![]() |
| Wakitembea toka ktk Bustani ya Mwalimu na ilikopandwa Miche ya Miti ya wawakilishi toka Zanzibar na Bara |
![]() |
| Picha hutunza Kumbukumbu najua hapa baada ya Miaka Ishirini tutataftana maofisini uko.... |
![]() |
| Picha iliyochukua watu Wengi zaidi hapa Shy Rose Banj, Mama Maria Makongoro Nyerere na Vijana viongozi |
![]() |
| Peter Dafi na Shy Rose Banj |
![]() |
| Nikiwa na wazee wangu machachali nachota Hekima na Busara tu kwa Kila Lika |
![]() |
| Vijana wakijadili jadili kila mmoja na mwenzie wakitafakali |
![]() |
| Hakika Vijana walipendeza kwa Tshert ambazo zilikuwa na Ujumbe mzito na uliofika kwa jamii ukiwa na Impact kubwa kwani Vijana HAWATAKI KUONA WAASISI WA TAIFA HILI WAKITUKANWA NA KUDHIHAKIWA. |
![]() |
| Hapa ni Mwenda, Makonda na Mkalipa |
![]() |
| Moja kati ya Vitu huwapa raha sana Vijana ni Picha za Kumbukumbu na Wazazi wao au viongozi wao. |
![]() |
| Lol... Hapa Kamanda Nyundo akiteta Jambo na Mama Nyerere nikwaumakini zaidi Nidhamu na Hekima zote hapo |
![]() |
| Ujumbe wa Tshert ni Huu kwa upande wa Mgongoni. |
![]() |
| Huu ni Mche wa Pili |







































Post a Comment