Home » » Roli laiponda Daladala Hiece na Kuuwa watu Jet Lumo Dar es salaam

Roli laiponda Daladala Hiece na Kuuwa watu Jet Lumo Dar es salaam

Written By peterdafi.blogspot.com on Tuesday, October 28, 2014 | 8:50 AM

Kumetokea ajali mbaya mida hii maeneo ya Jeti Lumo mwisho wa lami ambapo gari kubwa la mizigo limeangua daladala iliyokuwa kituoni.

Ajali hiyo imetokea wakati gari hilo semi-trailer ikikata kona pale mwisho wa lami ambapo kontena lilianguka na kutua juu ya bodi ya daladala.

Mtoa taarifa wangu amesema hali ni mbaya na bado hajajua idadi ya vifo na majeruhi ujumla.Pia gari imepondeka sana jambo ambalo linaashiria hatari zaidi.

Kuna gari la kunyanyua makontena limeshafika pale lakini limeshindwa kutoa msaada wa uhakika kutokana na kuzidiwa uzito na kontena ambapo likijaribu kunyanyua kontena ushuka chini na kuzidi kuongeza maafa.

More updates to come...

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger