Msanii wa Miondoko ya kizazi kipya Ainea wa Sina Mpango nae, Maumivu ya Mapenzi na Nyingine kibao.
Anatarajia kufanya Show yake siku ya J5 Tarehe 27 ijayo Mjini Dodoma ivo Wakati wa Dodoma na Viunga vyake msikose Show hii Mahiri kwani ataambana na Wasanii wenzake ili kunogesha Show hiyo
27 January, Show Kabambe ya Ainea na Wasanii kibao Dodoma
Written By peterdafi.blogspot.com on Monday, January 18, 2016 | 11:13 PM
Related Articles
- HOME GROUND HOTEL SASA KUWA NA LIVE BAND KILA JUMAMOSI.
- Tamasha la ngoma za Jadi Kufanyika Tukuyu Mbeya na Naibu Spika Tulia
- Gavanna wa Calfonia na Muigizaji Arnold amesema Muda umebadilika
- Serikali yafuta Gazeti la Mawio
- Picha jinsi kilivyohappen kwenye show ya selfie 16 na Koffi Olomide
- Vuna mbegu za kiume ukiwa na miaka18
Labels:
burudani
Post a Comment