Godfrey Mheluka aneteuliwa kuwa Naibu katibu mkuu wa umoja wa wazazi Tanzania wa Tanzania Bara.
Bwana Mheluka anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Luoga ambaye aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Tarime mwaka jana.
Mwenyekiti wa wazazi Bwana Bulembo amemteua leo na akathibitishwa na baraza kuu la wazazi linaloendelea na kikao chake dodoma
Ndg Godfrey Mheluka ateuliwa kuwa Naibu katibu Mkuu Umoja wa Wazazi Tanzania Bara
Written By peterdafi.blogspot.com on Sunday, January 17, 2016 | 9:34 PM
Related Articles
- Mbunge Ridhiwani Kikwete Amegawa Vifaa vya Kuchezea Mpira kwa Team ya Jimbo la Chalinze
- MAISHA YA MAZOEA CCM IFIKIE KIKOMO ~ HAPA KAZI TU!
- WARAKA No. 2 WA MHE. SPIKA KUHUSU UGONJWA WA CORONA
- Peter Msigwa alipiwa na Rais Magufuli.
- MAVUNDE APOKEA MIFUKO 724 YA SARUJI KUTOKA CRDB BANK
- MAVUNDE AWATAKA WADAU WA MICHEZO DODOMA KUSHIRIKIANA KURUDISHA HESHIMA YA DODOMA KATIKA MPIRA WA MIGUU
Labels:
siasa
Post a Comment