UVCCM CHAMWINO WAJAZA FOMU KWA NIABA YA BARAZA LA WADHAMINI
Written By peterdafi.blogspot.com on Monday, March 9, 2020 | 2:56 AM
Katibu UVCCM Wilaya ya Chamwino Ndg Peter Dafi akiwa ameambatana na Mwenyekiti wake Ndg Abdallah Omar wamejaza Fomu ya Kumilikishwa Kiwanja chenye Ukubwa wa Area 10,000 SQM 25 By 40 Block D Chamwino.
Baada ya Kujaza Fomu na hapa akirudisha Fomu kwa Afisa Ardhi anaeshughulikia Mambo ya Ardhi.
Related Articles
- SIKU YA USAFI,UVCCM WAMEFANYA USAFI OFISI YA DC CHAMWINO.
- KIFO CHA AKWILINA NI MTAJI WA SIASA KWA WANASIASA UCHWALA WA TANZANIA.
- Peter Dafi katika mahojiano ya Uchaguzi Mada Moto ya Channel Ten
- Pongezi za Peter Dafi kwa Mh Rais magufuli kwa Kutimiza Miaka 2 Madarakani.
- Pongezi za Peter Dafi kwa Mh Rais magufuli kwa Kutimiza Miaka 2 Madarakani.
- WARAKA No. 2 WA MHE. SPIKA KUHUSU UGONJWA WA CORONA
Post a Comment