Legend katika tasnia ya muziki duniani Jennifer Lopez alipiga bonge la show na kudrop ngoma mbili katika fainali Jumatano. Kwanza aliperform ngoma yake mpya ya “Goin” In” ambayo amemshirikisha Flo Rida. Ngoma ambayo imekaa kiclub banger kwa sana imetengenezwa na Producer GoonRock na itakuwa soundtrack kwenye Step Up Revolution. Pia aligonga reggaeton duo Wisin & Yandel wakaperform colabo yao ya “Follow the Leader” kwa mara ya kwanza kwenye Tv.
Post a Comment