Home » » ALICHOKISEMA LADY JAYDEE BAADA YAKUMALIZA MSIBA WABIBIYAKE.

ALICHOKISEMA LADY JAYDEE BAADA YAKUMALIZA MSIBA WABIBIYAKE.

Written By peterdafi.blogspot.com on Tuesday, July 3, 2012 | 8:52 AM

Shemeji Jaydee hivi juzi kati alipatwa na msiba wa Bibi yake, hivyo ilimlazimu kufunga safari nakwenga huko Bunga kwaajili yakuhifadhi mwili wa Bibi yetu kipenzi.

Niwatu wengi walimpatia pole nakumfariji kwa hali na mali kadili ya kila mmoja alivyoguswa na msiba huo.

Leo Jidee amewashukuru wale wote walimpatia pole, ameandika hivi katika ukurasa wake wa facebook.
"Asanteni wale 150 mliotoa pole na wengine wa inbox, na wa kwenye wall. Na wengine zaidi, ASANTENI SANA.. Kazi zinaendelea"
Hayo nimaneno ya Jay Dee katika page yake ya fb.


(RIP BIBI....)
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger