Home » » CHEKI MA CELEBRITI WA BONGO NA WATOTO ZAO HAPA........!!!!!!!

CHEKI MA CELEBRITI WA BONGO NA WATOTO ZAO HAPA........!!!!!!!

Written By peterdafi.blogspot.com on Tuesday, July 17, 2012 | 8:00 AM

JCB akiwa na mtoto wake wa Kiume

Chindo Man aka Mbwa akiwa na mtoto wake

Nikki Mbishi akiwa na mtoto wake wa kiume

Raque kutoka I-View Media pamoja na mkewe wakiwa na mtoto wao wa kike 

Mike T na mwanae wa kiume

Barnabas akiwa na mwanae wa kiume

Amini akiwa na mtoto wake wa kike

Gelly wa Rhymes na mtoto wake wa kike

Hapa ni Spac na JCB kutoka Kijenge ya juu Arusha wakiwa na watoto zao wakiume

Tunda Man na mtoto wake wa kike

Mwana FA na mtoto wake wa kike.

Picha na Habari hii nimezitoa kwa dj choka na hivi ndivyo alimalizia kwa chini......
 
KAMA KUNA WASANII AU WATU MAARUFU NILIOWASAHAU BASI NITUMIE PICHA ZAKO KUPITIA MAIL YANGU YA djchoka@yahoo.com
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger