Home » » Happy Birthday Jombii MUNIRA........!!!!!

Happy Birthday Jombii MUNIRA........!!!!!

Written By peterdafi.blogspot.com on Sunday, September 16, 2012 | 3:16 PM

 Mkeki wa Birthday Gall huooooo
Leo ametimiza Miaka Saba Mtoto Tumekuza sasa Jamani God Help Her to are Good Gall till end of Thise World.
 Puliza mishumaa mtoto si tuimbe kisha tule mkeki
 Pimzi ilikuwa inamkata hakuweza kupuliza yote kwa pamoja.
 Kata kaeki Tuleeee Kata Keki tuleeeee

 Wakwanza kuliswa alikuwa ni Mama yake Mzazi
 Wapili akawa ni Mama Mdogo Shufaa
 Ikawa hivyo pia kwa alifuatia
 Haya Mwalimu Nyembo nae Hakukosa pale Katika tukio Muhimu lile
 Kwani ulidhani anatatizooo basiii wala hataaaaa
 Kama kawa anagawa Keki tu
 Wote apa ni VIP bana Haoijalishi Umri Dini Wala Kabira
 Ustadhi nae alipata Keki
Mamjomba wake Deey Ikafika zam yake nae akapata Mjikeki wake
 Mtoto Akawa nahamu na njaa pia ikamshika so Ilimlazimu Mama Mzazi Amlishe Mtoto
 Mdogo nae Alimlisha Mtoto kushow Love kwa Baby Gall Mchanga
 Photo time sasa, Nikatikea na warembo

 Usingizi ulumpata wa Ghafraaa chezea Hilo Venu weweeee
 Deey na Mama Kichanga

 Me cndo Bamdogo Peter bana


 Hoply iko Poa na Hauta  Jenga Chuki Pia
 Ainea, Munira na Blogger Wako Dafi
Mwalimu Nyembo, Peter Dafi na Ainea

Birthday Patty ikawa imekwisha salama salmini na watu walifika makwao salama pia Tunamshukuru Mola kwa yote aliyojaalia kwa Sherehe hiyo.
Pia Tunamuombea Munila Afya ya Roho na Mwili kwa kila jambo, pia asome mpakaaaa....
Na aishi miaka Mingi zaidi ya wazee wa Kale
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger