Home » » MSONDO NGOMA YAENDELEA KUKONGA MASHABIKI KWA KUTOA BURUDANI ILALA

MSONDO NGOMA YAENDELEA KUKONGA MASHABIKI KWA KUTOA BURUDANI ILALA

Written By peterdafi.blogspot.com on Sunday, September 16, 2012 | 3:49 PM

Mpigas Drams wa msondo ngoma Saddy Ally akiwajibika katika onesho la bendi hiyo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa max bar Ilala Bungoni Picha na 
Waimbaji wa bendi ya Msondo Ngoma wakiimba wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kushoto ni Shabani Dede na Eddo Sanga 
Waimbaji wa Bendi ya Msondo wakitoa burudani kushoto ni Eddo San ga na Juma Katundu
Wapiga Magitaa wa bendi ya Msondo Ngoma wakifulumusha burudani wakati wa bendi hiyo ilipotumbuiza katika ukum bi wa Max Bar Ilala Bungoni  kushoto ni Abdull Ridhiwani na Zahoro Bangwe Picha na www.burudan.blogspot.com
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger