Inategemewa simu za mkononi zaidi ya 2.5M zitatupwa nje ya matumizi
ifikapo saa sita leo uciku.. Hiyo imetokea baada ya serikali ya Kenya
kupitia mamlaka ya mawaciliano kuamua kupiga marufuku cimu zote za
mkononi zenye viwango vya chini (yaani Mchina).. Wakenya walipewa muda
wa kubadilisha cimu za mkononi ambazo zilikuwa na viwango duni.. Muda
huo unaisha leo saa 5 na dakika 59 uciku..
Check on youtube kwa link hii chini kwa wale wasioamini..
http://m.youtube.com/watch?gl=US&hl=...&v=oHDlucDtdkU
Post a Comment