Ripoti ya Benki ya dunia kuhusu
chakula barani Afrika inasema kuwa wakulima wanaweza tu kuzalisha
chakula cha kutosha kulisha watu wa bara hilo ikiwa vikwazo vya biashara
kati ya nchi hizo vitapunguzwa.
Mamilioni ya watu katika eneo la Sahel wanakumbwa na njaa na utapia mlo.Kuondoa vikwazo vya mipakani, pia itapunguza gharama ya chakula.
Benki ya dunia inasema kuwa asilimia tano ya nafaka barani Afrika inatoka katika mataifa mengine ya Afrika ikisema kuwa mashamba makubwa yenye dhoruba hayatumiwi kwa upanzi.
Je hii ndio sababu ya uhaba wa chakula Afrika kweli? Toa maoni yako kwenye ukurasawangu wa Facebook, Twitter na Blog pia...!!!
Post a Comment