Home » » DSJ TOP MODEL FINAL AT GALAPO

DSJ TOP MODEL FINAL AT GALAPO

Written By peterdafi.blogspot.com on Friday, March 15, 2013 | 2:56 AM

Tarehe 14 march ndani ya galapo theatre kulikua na shindano la kumtafuta TOP MODEL ambalo lilianza muda wa saa 2 usiku kwa kuwapandisha washiriki 7  wakiwa wavulana 4 na wasichana 3 na kufanikiwa kupata washiriki wawili watakao wakilisha chuo cha DSJ katika mashindano mengine. kulikuwa na wasanii kutoka katika kundi la B NATION na Tony Dagy. Kampuni ya REBY LUZY  FASHION ilikua inahusika katika kuwavalisha models wote katika mavazi manne: vazi la ubunifu, vazi la ufukwe, vazi la casual wear(kawaida) na kumalizia na vazi la usiku. Pia models waliofanikiwa kushinda wamepata nafasi ya kwenda kushiriki katika UNI TOP MODEL itakayofanyika belinda resort tarehe 30 march ikisimamiwa na top model WANCY NELLS wa pakiteng.





































Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger