Home » , » MICHAEL MATHIUS NDIE KIJANA ALIEFANYA VIZURI CHUONI

MICHAEL MATHIUS NDIE KIJANA ALIEFANYA VIZURI CHUONI

Written By peterdafi.blogspot.com on Thursday, March 14, 2013 | 3:47 AM

 Hiki ni cheti cha MICHAEL MATHIUS kijana alietunukiwa cheti cha ufanyaji vema wa masomo wa chuo cha uandishi wa habari DSJ, mashafali hayo yalifanyika tarehe 09/03/2013 huko viwanja Msimbazi center. 
 Alikuwa ni mtu wa furaha sana sana
 Asante Muheshimiwa
 Baada yakuchukua cheti hicho aliwapa taabu sana waandishi na umati uliokusanyika katika viwanja hivo, wote walinyanyuka nakumfuata kwakweli alisimamisha shuguli kwa muda.
 Alikimbia mapaka kwa Babake mlezi
 Kiduku kilihusishwa pale
 Wahitimu wanzake na waandishi wote walimfuata.


Kiduku

 Furaha ilizidi mpaka machozi na kilio kilitokea pale jamaa alilia sana sana kwa furaha iliyokithili

 Sinka nae alikuwa na kazi yaziada

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger