Mahafari hayo yalianza mapema saa nne na Mh mgeni rasmi alianzia chuoni kwakukagua mazingira na vifaa vya chuoni hapo.
Hapa kushoto ni Mkuu wa chuo Mwalimu Lupepo kati niu Mh, Sitta na Mwalimu Sinka
Akionyeshwa vifaa vya idara ya Upigaji picha
Mwalimu Sinka akifafanua jambo
Hapa ni Studio ya Radio kwa ajili ya wanafunzi wa Journalism na Utangazaji.
Mgeni rasmi aliingia katika gari nakuelekea katika viwanja vya Msimbazi Center
Wahitimu
Mkuu wa Chuo akisoma Risala kwa mgeni rasmi
Mgeni rasmi nae alisema yake
Mh, Risara yake ilikuwa ndefu na yakueleweka vema pia.
Hapa ni kitengo maalum kwa watu maalum, wakijadili jambo Muhimu ili kuhakikisha mambo yote yanenda sawa.
Ni mwendo wakueleweshana tu mpaka kieleweke apa chezea PP wewee..........!!!!!
Hatimae waligundua kitu na kikaanza kufanyiwa kazi
Viongozi wa DASJOSO Herri Mgaza na Marko Odida
Nilikwambia waligundua jambo ndo wakaitana ili kulijadili vema na Hewkima na Busara zaidi
Waheshiwa na wazazi wa vijana wa wahitimu
Allan, Mbwana, Zai na Twaha wakiwa ni viongozi wa DASJOSO yani serikali ya wanafunzi
Secretary wa Chuo, wapili ni Mama Mchungaji
Secretary anaefuata ni Dine of Student
Mkurugenzi wa Chuo na Rais waserikali ya wanafunzi Mh. Gerrald Ochali.
walianza kuzawadiwa pia
Post a Comment