Home » » Gari lawagonga watoto washule ya msingi Nzega na kuuwa.

Gari lawagonga watoto washule ya msingi Nzega na kuuwa.

Written By peterdafi.blogspot.com on Thursday, April 18, 2013 | 4:05 AM

Ajali mbaya iliyohusisha Gari ndogo aina ya NOAH iliyotokea Masaa Mawili yaliyopita eneo la Makutano ya Barabara ya BENKI ya NMB na Barabara ya SINGIDA eneo la Kwa MAMA AMINA MAUFI na kupelekea kuwagonga WANAFUNZI wawili wa Shule ya Msingi KITONGO Umri kati ya miaka 5 - 7 ambapo mmoja alifariki papo hapo na Mwingine yu mahututi katika Hospitali ya Wilaya!! Hapo ni Gari la Polisi ambalo lilichelewa kufika eneo la tukio na kuuchukua mwili wa Marehemu!! MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU,PEMA PEPONI.Amina!!

Chanzo Nzega network na
Kajoro Vyohoroka
Share this article :

Post a Comment

Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger