Home » » MBUNGE WA NZEGA, DK. HAMISI KIGWANGALA AT RELOADED DSJ SCHOOL BASH

MBUNGE WA NZEGA, DK. HAMISI KIGWANGALA AT RELOADED DSJ SCHOOL BASH

Written By peterdafi.blogspot.com on Thursday, April 18, 2013 | 3:26 AM

Hii ni sababu tosha yakujua uelewa wa Mbunge au kiongozi.

 Rais wa DASJOSO Akitoa hotuba kwa Mgeni rasmi mbunge wa Nzega na mwenyekiti wa Kamati ya bunge ya kudumu (TAMISEMI) .
Mh, Rais wa DASJOSO aliyasema mengi sana ikiwemo na matatizo yanayowakabili wanafunzi, na serikali yao kwa ujumla.

 Alfred Ochali Raisi wa DASJOSO
 Kushoto ni Mh. Mbunge mgeni rasmi, anaefuata mi Mwalimu Malwa, Raisi aliesimama na Makamo wake Zainabu.

 Waziri wa Ulinzi DASJOSO
 Waziri mkuu Diedon wa DASJOSO

 DK. Hamisi Kigwangala mgeni rasmi aliijibu hotuba ya Raisi wa DASJOSO.
Lakini mgeni rasmi alifurahishwa na ukomavu wa vijana na serikali yao kwakufanya mabo makubwa sana kwa wakati mfupi tu.




 Pia alisema viongozi na uongozi huanzia hapo walipo kwa maana yakwamba wakifanya vema zaidi ndo ukomavu wa siasa kwao na badae wakawa viongozi bora wa Taifa.

 Pia Mbunge alishauri kuwa na tabia yakujiamini kwa kila jambo maana humfanya mtu afanye kwa ubora zaidi kwa hiyo tujitahi kama vijana kufanya mambo Chanya zaidi.
 Pia alijalibu kutoa mifano yake kadhaa kwa kutoa historia yake ya nyuma alivyowahi kusoma huko vyuoni na kuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi, kwani alishawahi kuwa Raisi wa serikali ya wanafunzi pale MUHIMBILI UNIVERSITY, so hiyo ni sababu na njia muhimu yakusababisha kijana kufanya makubwa zaidi kwa Historia ya mwanafunzi au kijana.

Kwa mnaofatilia Siasa vizuri Mh, Mbunge huyu wa Nzega alishawahi kutangaza katika mitandao nakusema kuwa Anatamani kuja kuwa RAISI wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania siku zijazo hiii humaanisha kwamba Mtu huota ndoto zake mapema na kuanza kuiishi na kufikia malengo yake kwa jitihada zake kwani Mbunge huyu kazianza siasa mapema na tunaweza ona anavyozidi kusonga mbele kwa jitihada zakutosha.
Ni hivi juzi kati tu bnunge lililopita akiwa kama kijana aliwasilisha Hoja binafsi yakutetea ajira kwa Vijana. hizi ni harakati za mbunge huyu wa jimbo la Nzega hii ni alama nzuri sana kwa mpambano wa siasa.
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger