Siku hii muhimu sana kwa Afya zetu tukatizame Afya zetu kwa kupima Magonjwa ya Figo, kwani ugonjwa huu ni hatari zaidi ya Ukimwi.
Lakini pia ili kupambana na Ugonjwa huu kumekuwa na sensa mbali mbali za Mikoa na wilaya za kupambana na Ugonjwa huu, Mfano mzuri ni Juzi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mecky Sadick aliwaagiza wafanyakazi wa Vituo vya Afya na Hospitali za Mkoa huo wapime maambukizi ya Homa ya Ini kupatiwa kinga ya tiba inayostahiki.
Takwimu za zinasema Zaidsi ya watu Millioni Moja kila mwaka wanakufa kwa ajili ya ugonjwa huo, huku watu Bilioni mbili wakiugua na Millioni 400 wanaugonjwa huo ambao umekuwa Sugu. Wananchi tunapaswa kupima ugonjwa huu kama tupimavyo Ukimwi ili kujua Afya yetu na watakaobainika wapate Tiba.
Takwimu za Kituo cha Damu salama wanasema kuwa Lita 170,000 za Damu zilizochangwa, Lakini Asilimia Saba zilionekana kutokuwa salama kutokana na maambukizi ya Homa ya Ini na asilimia 0.6 ilikuwa na virusi vya Ukimwi.
Mkoa wa Dar es salaam tangu mwaka 2008 serikali ilizindua mpango wa kuhakikisha wajawazito wanapata chanjo ya Ininkabla ya Kijifungua, na anapojifungua Mtoto anapata chanjo Mara Tatu. Miaka ya Nyuma hapakuwa na Chanjo hiyo.
Peter Dafi niko Dodoma hapa ni Nyerere Squre ndiko Upimaji wa FIGO unafanyika hapa kwa Mkoa wa Dodoma na Waheshimiwa wabunge watakuwa hapa asubuhi hii kupima pia.
Tunaalikwa kwa wingi kupima leo FIGO zetu na afya zetu ili kujua maambukizi na kupata matibabu.
Post a Comment