Home » , » PAUL MAKONDA ALIA NA USEMA KWELI WAKE , UTAMPONZA....!!!!

PAUL MAKONDA ALIA NA USEMA KWELI WAKE , UTAMPONZA....!!!!

Written By peterdafi.blogspot.com on Sunday, March 9, 2014 | 2:47 PM

Amesema kuwa...........

" ..msema kweli huchukiwa na rafiki zake, nitakapofikwa na ajali hiyo sitaona wivu juu ya wale wanaodumu na marafiki zao siku zote, siwezi kuikana kweli kwa kuchelea upweke wa kitambo nikajitenga na furaha ya kweli pale UONGO utakapojitenga.."

-Nitaendelea kuamini na kuishi na hekima hizi za Mzee Hayati Shaaban Robert, maisha yangu yamezungukwa na kila aina ya marafiki hakika wapo wema wengi na wabaya wengi, natamani wote wangelikuwa wema kwangu kama ilivyo kwangu kuwa wema kwa wote.., lakini hakika hali si hivyo ilivyo na kupitia siku hii ya Neema nyingi namuomba Mwenyezi Mungu anijalie hekima na busara ya kufanya maamuzi sahihi kila wakati. Aniongezee imani ya kuutumikia ukweli kwa kutenda haki na kamwe isiwe kutumikia batili.

Ewe Mwenyezi Mungu niongoze..!!

Jumapili njema.

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger