Amesema kuwa...........
"
..msema kweli huchukiwa na rafiki zake, nitakapofikwa na ajali hiyo
sitaona wivu juu ya wale wanaodumu na marafiki zao siku zote, siwezi
kuikana kweli kwa kuchelea upweke wa kitambo nikajitenga na furaha ya
kweli pale UONGO utakapojitenga.."
-Nitaendelea kuamini na kuishi na hekima hizi za Mzee Hayati Shaaban Robert, maisha yangu yamezungukwa na kila aina ya marafiki hakika wapo wema wengi na wabaya wengi, natamani wote wangelikuwa wema kwangu kama ilivyo kwangu kuwa wema kwa wote.., lakini hakika hali si hivyo ilivyo na kupitia siku hii ya Neema nyingi namuomba Mwenyezi Mungu anijalie hekima na busara ya kufanya maamuzi sahihi kila wakati. Aniongezee imani ya kuutumikia ukweli kwa kutenda haki na kamwe isiwe kutumikia batili.
Ewe Mwenyezi Mungu niongoze..!!
Jumapili njema.

Post a Comment