Home » , » Madhara ya Kuweka Weaving Kichwani haya hapa

Madhara ya Kuweka Weaving Kichwani haya hapa

Written By peterdafi.blogspot.com on Sunday, May 11, 2014 | 9:49 AM


Baadhi ya wanawake wengi wa hapa mjini wameanza kutumia style mpya ya kugundisha nywele aka wiving katika vichwa vyao kwa kutumia gundi pasipo kujua madhara yake.

Watafiti na Madaktari kutoka bara la ulaya wamethibitisha kuwa gundi hizo zinazotumiwa huwa zinakemikali ambazo zinaleta athari kubwa katika mwili wa mwanadamu hususani kansa.

 Mpaka sasa madaktari bingwa kutoka ulimwenguni kote bado hawajapata uvumbuzi wa dawa ya kutibu kansa zaidi tu ya kutumia njia ya kuchomelea mionzi ili mgonjwa apate ahueni.
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger