Home »
kitaifa
,
siasa
» RAIS JK AMJULIA HALI MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE
RAIS JK AMJULIA HALI MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE
Written By peterdafi.blogspot.com on Sunday, May 25, 2014 | 1:21 PM
Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa
Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa
katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu(ICU) hospitali
ya AMI jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Freddy Maro
Post a Comment