KOMANDO, ANAKONDA, BINTI MACHOZI AMA MWITE LADY JAY DEE asema hivi dhidi ya Tuhuma zake alizopewa kuwa eti Kamuomba Msamaha RUGE MUTAHABA. Gazeti limeandika haya
Kasema hivi.................
"Nakanusha tena na tena, hii habari ni ya uongo na sijui walio andika
wana nia gani. Hiki kitu hakiwezi kuja kutokea. ..naweza kupiga magoti
mbele za Mungu na mama yangu mzazi tu."
Lady Jay Dee akana Kumpigia Magoti Tuge Mutahaba . Ona hapa
Written By peterdafi.blogspot.com on Thursday, June 19, 2014 | 9:55 AM
Related Articles
- Tamasha la ngoma za Jadi Kufanyika Tukuyu Mbeya na Naibu Spika Tulia
- 27 January, Show Kabambe ya Ainea na Wasanii kibao Dodoma
- Gavanna wa Calfonia na Muigizaji Arnold amesema Muda umebadilika
- Serikali yafuta Gazeti la Mawio
- Picha jinsi kilivyohappen kwenye show ya selfie 16 na Koffi Olomide
- Vuna mbegu za kiume ukiwa na miaka18
Labels:
burudani
Post a Comment