Home » , » SEMINA ELEKEZI YA DAWASA KWA VIONGOZI WA JUMUIYA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI, MSASANI.

SEMINA ELEKEZI YA DAWASA KWA VIONGOZI WA JUMUIYA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI, MSASANI.

Written By peterdafi.blogspot.com on Thursday, June 19, 2014 | 4:42 AM

 Picha mbali mbali zikionesha wanaccm wakiwa kwenye semina elekezi kwa viongozi wa ccm na jumuiya zake kuhusu kazi mbalimbali zinazotekelezwa na dawasa katika ukumbi wa sisi club msasani.maji ni uhai
Ccm oyeeeeeeeeee.
viongozi wa jumuiya mbalimbali za chama cha mapinduzi wakiwa katikia semina elekezi iliyoandaliwa na Dawasa katika Ukimbi wa Sisi club msasani.

Kiongozi wa serikali ngazi ya mtaa (wa kwanza kulia mwenye shati jeupe) akiwa sambamba na viongozi wa jumuiya za Chama Cha Mapinduzi katika semina elekezi iliyoandaliwa na DAWASA.

mmoja wa watoa mada wa semina elekezi kwa viongozi wa jumuiya mbalimbali za Chama Cha Mapinduzi akiwasilisha  mada yake katika semina hiyo.


wanachama wa CCM ambao nao walipata nafasi ya kushirikiri semina hiyo elekezi wakiwa katika Umakini wao kuhakikisha hawapitwi na jambo kwenye Semina hiyo Muhimu iliyoandaliwa na DAWASA.



Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi kata ya Msasani (mwenye kofia) akiwa pamoja na washiriki wengine katika semina hiyo elekezi iliyotolewa na Dawasa.

Wanasemina washiriki wakiwa wametulia kufuatilia mafunzo kwenye semina elekezi ya viongozi wa jumuiya mbalimbali za Chama Cha Mapinduzi.

washiriki wa semina elekezi iliyoandaliwa na Dawasa wakiwa wanafuatilia kwa makini darasa ambalo linatolewa na wakufunzi mbalimbali kutoka DAWASA.
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger