Home » » Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA Mkoa Tabora unaendelea

Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA Mkoa Tabora unaendelea

Written By peterdafi.blogspot.com on Sunday, August 31, 2014 | 5:32 AM

VIONGOZI wa wilaya zote za mkoa wa Tabora Chadema wapo kwenye uchaguzi wa viongozi wa mkoa wa Tabora

Juzi walifanya Chaguzi za Jimbo, Jana za Wilaya na Leo wamekusanyika Mkoani Tabora Kwa Ajili ya Chaguzi za Mkoa.

Sasa Sijui maandalizi yamefanywa sangapi Manake Ni Mfurulizo siku tatu bila Kupumzika au Wanachaguliwa tu Bola Liende.

Ili waje Kutoa Matamko ya Maandamano vema.

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger