Home » » Katibu Mkuu CCM Mzee A.kinana atinga Kisiwani Mafia kwa kiboti

Katibu Mkuu CCM Mzee A.kinana atinga Kisiwani Mafia kwa kiboti

Written By peterdafi.blogspot.com on Tuesday, September 16, 2014 | 8:34 PM

Imekuwa ni kawaida kumuona Mzee huyu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi akiwa anafanya kazi ngumu, ama kutembea Peku, ama Kutembea Kwa Miguu, ama Kupanda usafiri Mbovu, Na Kila Aina ya Jambo LA Hali chini kabisa kama walivyo wananchi wengi wamaisha ya chini.
Katibu huyu amekuwa anawafikia wananchi wote kila kona ya Nchi hii Kwa Kila Namna, hakika nikiongozi Bora.
Na Hasa huu ndio Uongozi Bora.

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger