Home » » Naibu katibu Mkuu UVCCM atoa Pole ya Msiba Kisha kukagua Miradi UVCCM Mkoa

Naibu katibu Mkuu UVCCM atoa Pole ya Msiba Kisha kukagua Miradi UVCCM Mkoa

Written By peterdafi.blogspot.com on Thursday, September 18, 2014 | 11:12 PM

Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Ally Mfaume Kizigo akitoa pole kwa wafiwa ktk msiba wa baba yake na Katibu wa UV CCM Mkoa wa Kilimanjaro Ndg Yassin Lema.

Mazishi ya Mzee Lema yalifanyika jana ktk kijiji cha Uswaa,Machame Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro.

Baada ya mazishi Naibu Kizigo alipata fursa ya kuzungumza na viongozi wa UV CCM Mkoa wa Kilimanjaro ambapo pamoja na mambo mengine alikagua ujenzi wa mradi wa uvccm Mkoa.

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger