Home » » Habari Mpasuko, RC Makonda amsimamisha Kazi Afisa Utumishi Wilaya ya Ilala kwa Kushindwa Kuwajibika

Habari Mpasuko, RC Makonda amsimamisha Kazi Afisa Utumishi Wilaya ya Ilala kwa Kushindwa Kuwajibika

Written By peterdafi.blogspot.com on Monday, May 9, 2016 | 1:06 AM


Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh paul
Makonda  amemsimamisha Afisa Utumishi Wilaya ya Ilala Baada yakushindwa kujua Wafanyakazi Hewa 11.

Hii imekuja nakuisema leo ktk Kikao chake na wakuu wa Wilaya wakiwemo maafisa wote wa Mkoa mzima.

RC makonda amemsimamisha Afisa utumishi huyo baada yakushindwa kutoa ama kugundua Watumishi Hewa 11 kitu ambacho Makonda kimemkera sana.
Ikumbukwe leo imekuwa mara ya 3 kuja nakuzungumza swala la watumishi hewa, kwani aliwao toa udadi hiyo kisha aagiza Zoezi liendelee kufanyanyika ili kubaini wafanyakazi hewa zaidi.

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger