Katika hatua isiyoyakwaida baada ya kuona Zitto hatetereki na fitina za Kila aina anazofanyiwa ndani ya Chadema ili kumkatisha tamaa kijana huyo mwenye upeo wa hali ya juu wa kusoma Nyakati,Mzee Edwin Mtei ambaye ni Mwasisi na mwenye sauti kuu ndani ya chama hicho ameamua kumuangukia Zitto kabwe na kukiri Zitto ni Mwamba,Zitto ni Mwanasiasa jasiri na Mbunifu wa siasa zake,Zitto ni kijana mwenye uwezo mkubwa wa kuhimiri CATRINA yoyote ile katika siasa zake.
Mzee Mtei amefikia hatua hiyo baada ya siku za karibuni kusikika akisema bado Chadema inamhitaji Zitto kabwe,Bado Zitto ananafasi ndani ya Chadema kwa sababu anamchango Mkubwa ndani ya chama hicho.
Chanzo:Gazeti la Tazama,17/12/2013
Mzee Mtei amuangukia Zitto Kabwe, adai ni mwanasiasa jasiri
Written By peterdafi.blogspot.com on Monday, December 16, 2013 | 11:51 PM
Related Articles
- Mbunge Ridhiwani Kikwete Amegawa Vifaa vya Kuchezea Mpira kwa Team ya Jimbo la Chalinze
- MAISHA YA MAZOEA CCM IFIKIE KIKOMO ~ HAPA KAZI TU!
- WARAKA No. 2 WA MHE. SPIKA KUHUSU UGONJWA WA CORONA
- Peter Msigwa alipiwa na Rais Magufuli.
- MAVUNDE APOKEA MIFUKO 724 YA SARUJI KUTOKA CRDB BANK
- MAVUNDE AWATAKA WADAU WA MICHEZO DODOMA KUSHIRIKIANA KURUDISHA HESHIMA YA DODOMA KATIKA MPIRA WA MIGUU
Labels:
siasa
Post a Comment