Wakuu hii hapa chini ni video ikimuonyesha Mh Ole Medeye
(mmasai) akiendesha kikao cha kuratibu angamizo dhidi ya kabila la
Wachaga katika nyanja za siasa nchini,
Kikao hiki kiliandaliwa na Mbunge wa Monduli ndugu Edward Lowasa,
Naaam Mh Lema alifanikiwa kupenyeza vijana wa kazi wakaweza kurekodi kikao hicho,
NB
Lugha iliyotumiwa ni kimasai, hivyo omba wakalimani wakusaisie,
Au wafuasi wa Lowasa kama Pasco wanaweza kuwasaidia kutafsiri
Chanzo:- JF
Ushahidi wa VIDEO wa Mh Lema dhidi ya Uchochezi wa Ole Medeye
Written By peterdafi.blogspot.com on Monday, December 16, 2013 | 11:44 PM
Related Articles
- Mbunge Ridhiwani Kikwete Amegawa Vifaa vya Kuchezea Mpira kwa Team ya Jimbo la Chalinze
- MAISHA YA MAZOEA CCM IFIKIE KIKOMO ~ HAPA KAZI TU!
- Hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM ndg Abdurlahman Kinana Mbele ya Rais Mugabe wa Zimbabwe huko Arusha
- CHRISTOPHER OLE SENDEKA AKIHUTUBIA MERERANI NA KUKAZIA MISIMAMO YAKE JUU YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
- HONGERA CCM KWA KAZI KUBWA YAUSHINDI KALENGA. ZUIA RUSHWA....!!
- Ndoto za Dk.Hamisi Kigwangalla Mjini Nzega Kuhusu Misimamo ya Kujenga Taifa na Uzalendo.
Post a Comment