Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia waziri
mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais mstaafu Jaji Joseph warioba katika
msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro ,Ada Estate Dar es
Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia Prof. Issa Shivji
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsikiliza
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku katika msiba
wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro jijini dsm leo hii..Na
Father K
Post a Comment