Breaking News;
Mgombea Chadema ubunge Kalenga kajitoa katika uchaguzi baada ya kunusa
dalili za kushindwa na mgombea wa Ccm kijana Godfrey Mgimwa.Mzungumzaji
wa Chadema mkoani Iringa bwana Sebo Mchele akiri juu ya taarifa hizi na
kusema ilikuwa lazima washindwe
maana upepo wao sio mzuri kisiasa.
Inasemekana Kajitoa na Kakimbia kabisa eneo la tukkio kwani anajua itamkuta aibu kubwa sana.
Breaking News;- MGOMBEA CHADEMA HUKO KALENGA KAJITOA KTK KINYANG'ANYILO.....!!!!
Written By peterdafi.blogspot.com on Sunday, March 16, 2014 | 12:57 AM
Related Articles
- MAVUNDE AWATAKA WADAU WA MICHEZO DODOMA KUSHIRIKIANA KURUDISHA HESHIMA YA DODOMA KATIKA MPIRA WA MIGUU
- Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe Christine Mndeme , leo tarehe 3/6/2018 amekabidhiwa Mwenge wa Uhuru Na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe Christopher Ole Sendeka.
- KIFO CHA AKWILINA NI MTAJI WA SIASA KWA WANASIASA UCHWALA WA TANZANIA.
- Mbunge Ridhiwani Kikwete Amegawa Vifaa vya Kuchezea Mpira kwa Team ya Jimbo la Chalinze
- MAISHA YA MAZOEA CCM IFIKIE KIKOMO ~ HAPA KAZI TU!
- WARAKA No. 2 WA MHE. SPIKA KUHUSU UGONJWA WA CORONA
Labels:
siasa
Post a Comment