Waziri Nyarandu ametangaza nia yake hiyo Kijijini Singida Leo.
Akihutubia mkutano wa hadhara mji mdogo wa ilongero singida vijijini mbunge wa singida kaskazini na waziri wa mali Asili na utalii lazaro nyalandu ametangaza rasmi kuwa atagombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2015.
hata hivyo katika hali ya kushangaza kumetokea vurugu katika mkutano huo baada ya vijana kadhaa wa ccm waliokuwa na mabango ya ujumbe tofauti tofauti kutaka kumuonyesha mbunge wao kukamatwa na polisi
Post a Comment