Taarifa rasmi zinasema uongozi wa chuo kikuu
cha Dodoma (UDOM) umeazimia kumfukuza
chuo moja kwa moja waziri mkuu wa serikali ya
wanafunzi wa college of humanities and social
sciences bwana MWAKIBINGA na kumsimamisha
rais wa serikali hiyo. Maazimio hayo yanafuatia
kikao cha council ya chuo kilichoketi jana jioni.
Wawili hao wanadaiwa kuchochea mgomo
uliotokea jana chuoni hapo. Ikumbukwe kwamba
MWAKIBINGA aliwahi kusimamishwa chuo kwa
kipindi cha miaka miwili kabla ya kuruhusiwa
kurudi chuoni na kuendelea na masomo.
pole sana Mdogo wangu Mwakibinga sasa katulie nyumbani chunya-mbeya
Bavicha watakuja kukusaidia
Wawili Wafukuzwa UDOM kwa Kuongoza Mgomo kwa Wanafunzi Jana.
Written By peterdafi.blogspot.com on Thursday, January 15, 2015 | 8:21 AM
Related Articles
- TANZIA: Mwanajeshi wa Tanzania auawa na wengine watano hali ni mbaya
- Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe Christine Mndeme , leo tarehe 3/6/2018 amekabidhiwa Mwenge wa Uhuru Na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe Christopher Ole Sendeka.
- AJALI MBAYA YAUWA MAAFISA WA SERIKALI
- KIFO CHA AKWILINA NI MTAJI WA SIASA KWA WANASIASA UCHWALA WA TANZANIA.
- SIKU YA USAFI,UVCCM WAMEFANYA USAFI OFISI YA DC CHAMWINO.
- Peter Msigwa alipiwa na Rais Magufuli.
Post a Comment