Home » » BET AWARDS 2012 ; All EYES ON BEYONCE....!!!!

BET AWARDS 2012 ; All EYES ON BEYONCE....!!!!

Written By peterdafi.blogspot.com on Monday, July 2, 2012 | 1:08 AM


 
The 12th annual BET Awards zimetolewa usiku wa J2 Jana huko Shrine Auditorium in Dowtown Los Angeles Marekani, Show iliongozwa na MC Samuel . L Jackson na ma super stars kama Bey, Hubby Jay-z, Kanye West, Nick Minaj Makeng the celemony one for the book.

Pamoja na hayo tulipata kuona Whitney Houston Tribute, ambayo ilotolewa na wananii wote walioshiriki katika kinyang'anyilo cha BET Music Awards mwaka 2012...

Fiercest Front Low... Ever; As if Beyonce weren't hot enough Beyonce alikuwa VIP sit akiwa pembeni na mumewe Jay- z, na Stylish dada Solange Knowles, bila kuwasahau Couple wengine Kanye West na mwanadada Kim Kardashian....Sasa kutokana na masuper sta hao kuwa hivo CEMERA za ukumbi huo zilitack advantage kupita hapo kila mala, hapo ndipo kelele na tabasamu za watu waliokuwepo ukumbini humo kulindima nakuonyesha kuwa wanafurahia kuwaona mastaa hao.... kila lisaa nusu yake lilitumika na  Bey Smilling, Dancing, singing etc... nilipenda kiukweli kwani wamejipanga wale watu...

Best excuse for not having a speech prepared; Best new artist winner  Big Sean alipanga stage kisha akaanga kubaha na kuexplain his Speechlessness; his Mama forgot his speach, he didnt't  hold it aganst her through, jamaa siakaanza kutiririkaaaa sasa eti," Showt out to my mumy to rising me out right" Oooooowwwwww...... akaanza kuzingua pale bt waz so amazing kimsingi sio kama tunzo za bongo.


Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger